本
名言
ブログ
Author Program
ログイン
サインアップ
絞り込む: 著者 タグ Submit a Quote

"maisha-yangu"タグの名言

Kufika hapa nilipofika leo nilijitolea vitu vingi na mambo mengi katika maisha yangu. Niliishi katika uhamisho wa kijamii kwa ajili ya mafanikio. Nilijitolea muda. Nilijitolea usingizi. Nilijitolea starehe. Wakati wengine wakienda baa mimi nilikuwa kazini. Wakati wengine wamelala, mimi nilikuwa macho nikifanya kazi. Wakati wengine wakiangalia vipindi pendwa vya televisheni, mimi nilikuwa nikiangalia vipindi visivyopendeka vya televisheni. Wakati wengine wana muda wa kuchezea, mimi nilikuwa nikiyaendesha maisha yangu kwa ratiba maalumu.
— Enock Maregesi
タグ: usingizi, success, starehe, sleep, ratiba-maalumu, my-life, maisha-yangu, mafanikio, luxury, fixed-schedule
  • サイト概要
  • 問い合わせ
  • 利用規約
  • Community Guidelines
  • プライバシーポリシー
© WSIRN 2025, 東京とバリから ❤を込めて。Amazonアソシエイトの一部として、対象となる購入より収益を得ています。